Skip to main content

Jiunge na maelfu ya watu wanaotumia mtandao wa satelaiti ya Konnect

Kujiunga na mtandao wa satelaiti ndio suluisho bora ikiwa una huduma ya intaneti isiyoridhisha.

  • Ufungaji wa haraka wa huduma
  • Washirika wetu wenye maduka maeneo mbalimbali usambaza vifaa kwa uharaka

Chagua kifurushi sahihi kutoka vifurushi kadhaa bora vilivyotengenezwa ili kukidhi mahitaji yako. Unaweza pia

Kubadilisha kifurushi chako kila muda wa malipo.

Fuatilia matumizi yako ya data kwa urahisi kupitia eneo spesheli la wateja.

Lipia huduma kwa urahisi kupitia maduka au wakala wetu.

Wanachosema wateja wetu kuhusu huduma ya Konnect

Huduma ya mtandao wa satelaiti wa Konnect umeruhusu wateja wetu kuepuka changamoto za upatikanaji wa huduma ya uhakika walizokuwa wanazipata kabla.

Wateja wetu wanazungumzia sifa na ubora wa huduma ya mtandao wa Konnect kwa matumizi ya nyumbani na maofisini.

Client Konnect RDC

Konnect nyumbani

Jean-Michel Muyulu anaishi Kinshasa,DRC. Anafanya kazi kwenye sekta ya fedha na ni baba wa watoto 3.

 

Kabla ya Konnect hakuweza kupata huduma ya intaneti ya kasi na uhakika nyumbani kwake. Hakuwa anaweza kufanya kazi vizuri akiwa nyumbani na familia yake haikuweza kuwasiliana naye vizuri akiwa nje ya nyumbani.

 

Kwa sasa ameunganishwa na huduma ya satelaiti ya Konnect na anaweza kufanya kazi akiwa nyumbani na familia inapata huduma za barua pepe, Netflix, na zingine mbalimbali kwa uhakika zaidi ...

Témoignage client professionnel Konnect

Konnect mahali pa kazi

Olivier Kabukala anamiliki shamba kwenye mji wa Lubumbashi, DRC. Kwake kuwa na huduma nzuri ya intaneti ni muhimu kwa mafanikio yake.

 

Kabla ya Konnect hakuweza kuwasiliana na wafanyakazi wake kwa urahisi jambo ambalo lilikuwa muhimu katika uendeshaji wa shamba lake, huduma ya intaneti haikuwa nzuri na zaidi ya hapo ilikuwa ghari pia.

 

Kwa sasa ameunganishwa na huduma ya intaneti ya satelaiti ya Konnect na anaweza kuendesha shamba lake kwa ufanisi akiwa na huduma ya kasi na ya uhakika.

Top