Skip to main content

Simu

Piga simu 0659 070 060

Jumatatu - Jumamosi

9 Asubuhi - 6 Jioni

WhatsApp

Piga sasa +255 759 886644

Jumatatu - Jumamosi

9 Asubuhi - 6 Jioni

Timu yetu itakusaidia kujibu mswali yako yote yanayohusu jinsi ya kujiunga na huduma ya intaneti ya Konnect. Watafanya yafuatayo:

1.

Angalia Upatikanaji wa huduma

2.

Kukuambia kuhusu vifaa utakavyohitaji

3.

Kukujibu kuhusu maswali yako yote kuhusu kuwekewa huduma

4.

Kukuongoza kuhusu hatua zitakazofuata

Top