Skip to main content

Ingia mtandaoni kwa haraka ukitumia teknolojia ya satelaiti nchini Tanzania

Je, umechoka kusumbuka na kasi ndogo ya mtandao au kusubiri mtoa huduma mpya akufikie katika eneo lako? Huduma ya mtandao wa satelaiti sasa inapatika kwa ajili yako.  Shukrani kwa Eutelsat kwa miaka 40 ya uzoefu, satelaiti yetu ya KONNECT tayari inaangazia kasi ya juu zaidi ya Mtandao  kati ya Mbps 50 na 100 na inapatikana kwa watu wa mjini na vijijini.

Jiunge leo na maelfu ya  watanzania wanaofurahia huduma zetu.

Tunakuunganisha. Popote pale ulipo. Kwa urahisi.

Tazama vifurushi vyetu vya intaneti ya satelaiti

Kwa nini uchague konnect?

YENYE KASI

kasi ya kuanzia Mbps 50 hadi 100 Mbps

NI RAHISI

Tupo tayari kukuunganisha na huhitaji tena kuwa na simu ya mezani

YENYE GHARAMA NAFUU

Lipia kifurushi kulingana na mahitaji wako

MAHALI POPOTE

Huduma zinatolewa kwa watu wa mijini na vijijini

Inafanyaje kazi?

Kwa kutumia teknolojia ya satelaiti inayorusha huduma kutoka angani.

 

Unachohitaji kufanya ni kununua kifurushi na vifaa. Tutakuunganisha na utakuwa mtandaoni siku hiyo hiyo. 

 

Hivyo acha satelaiti yetu iliyo angani kilomita 36,000 juu ifanye kazi ngumu,  huku wewe ukifurahia Intaneti yenye kasi  mude wote na popote pale ulipo nchini.

Image
konnect-equipment-installation
Internet for home and family

Vifurushi vya Konnect Satellite

Tunatoa vifurushi vya intaneti vyenye kasi na uwezo kulingana na uhitaji yako.

konnect-pro

Ushirikiano wa Ujenzi

Tunasambaa maeneo mbalimbali Afrika na tunatafuta washirika wa kujitolea kufanya kazi nasi kusambaza huduma zetu. 

 

Unawezaje kuunganishwa?

Tutembelea duka letu

Tayari tuna maduka ndani Tanzania na tunatarajia kufungua maduka ya mtandaoni kote barani Afrika.

Wasiliana na mshirika

Nunua moja kwa moja kutoka kwa washirika wetu wa Tanzania

Jiunge nasi

Je, ungependa kuwa mshirika nchini Tanzania? Je, ungependa kutumia huduma za Konnect? Wasiliana nasi.

Tazama ofa na upatikanaji nchini Tanzania

Top